Seyfullah online tv imebahatika kufanya mahojiano Maalum na Imam mkuu pamoja na mudeer WA madrasat Bilali Iliyopo Area C Dodoma, hii ni mara Baada ya kumalizika Kwa shughuli ya Bilali Day pamoja na MAULIDI ya kumswalia Mtume Muhammad (S.a.w)
Sheikh Abdul-aziz yunus amewasihi Waislam kumpenda Allah s.w pamoja na kudumisha Amani ya nchi kwani ni Jambo Kubwa sana
#subscribe_seyfullahtv
#muftitariqmasood
#zanzibar
#trendingshorts
#trending
#trendingnews
#newsupdates
#india
#oman
#saudiarabia
#kenya
#motivation
#motivation
#ikulumawasiliano
#pembukapinturezeki
#usa
#islam
#mufti