Комментарии:
Huyo bwana anamtaka sema anasubiri aangukiwe mtamuona karudi huyo anatafuta pesa ya dhahabu 😂😂😂😂😂😂😂
ОтветитьKuna watu hwa ajabu kwel umeona kbs Ile ni kz kwann ujaji unalazimisha nn unauhakika gn km huyo bint katembea nae!mumefanya Jambo kuwa kubwaaaaa
ОтветитьMbona wewe umeandika maziwa hapo mke wa mtu hiyo ndio nguo?
ОтветитьKuna wkt m,akikuambia Niko kwenye foren Kubal tu usijaji !mbona hawakukuona kbl hujaolewa
ОтветитьNkwel mapenzi hayaganyiki mmy
ОтветитьKwenye mahusiano mmekaa miak Saba? Barnabas sialikua mke,kwahiyo ulikua unamuibia yule wakwanza?
ОтветитьNdg mtangazaji jinc anavyo ongea tu uyo mdada inaonesha kabisa yy kashika mpini barnaba kashika makali sasa unazani kuna nn kitatokea kama cio kumwaga damu
ОтветитьUyo kijana hana ndugu au wazazi mchanga gani anapelekeshwa si wasimame arudi aowe kwa dini yake
ОтветитьHuyu dada amekasirika kweli 😂😂aliyekua
ОтветитьApo kwenye kiuno napo nishida Ata mm nisingekubali lakini sio kuondoka kwako sio Sheria iyo mamaa
ОтветитьWewe mwanamke wacha ujinga wewe jielewee jali ndoa yako kwa uzuri gani hasa
ОтветитьSiku hizi hakuna maaba aliimba Ali kiba.naona kama Barnaba ananyanyaswa nahuyo mdada.wanawake wengi akiwa anagusa tuhela heshima zao hushuka kwa waume zao.angalisho nawatu wapole kama Barnaba.
ОтветитьWewe mwenyewe hujiheshim unavaa ovoooo
ОтветитьSasa wewe unataka uombwe msamaha insta ili iweje? Kwani insta ndio mkewe? Acha macfa na kumdhalilisha mwenzako. Kwani mkiombana msamaha pekeenu haitoshi.
ОтветитьRaya rudi Kwa kumeo ndoa ina vita sana kuyaanika mambo Yako ya ndoa mitandaoni sio ishi unaongeza idadi ya maadui Kwa pande zote 2 ndoa stara weyeeee
ОтветитьMpuuzi kwel huyu dada
ОтветитьMtoto wewe ulikuwa una haki ya kukasirika lakini huko mtandaoni kunakushushia has
ОтветитьKwan huyo Barnaba alikukuta Bikrame 😢😢
ОтветитьKama Barnabas kaomba msamaha halafu huyu hataki, aachane naye. Halafu, kumbe ilikuwa kazini!!!
ОтветитьMnakosea Barnaba anatakiwa kusamehewa lkn hata mimi sidhani kuwa mwanamusic basi lazima mkae uchi msitetee vitu visivyo sahihi wakiendelea hivyo itafika kipindi wanamusic watapanda jukwaani uchi kabisa hivi vitu lazma vikemewe vikali wasivae nguo ndefu lkn wavae nguo nzuri za music fup lkn wengine wanavaa matako waz hapana hapana hapana
ОтветитьIla Raya lazima amsamehe Barnaba na pia vaeni Variety stile fupi sawa lkn acheni kuvaa matako wazi hatupendi, tunaomba zipite chini ya makalio mstalii wa makalio hatutaki kuona.
ОтветитьShe's vry honest coz she love tht guy indeed
ОтветитьKumbe umezoea ugomvi kidogo kwa mma,haipendezi,jifunze kutatua shida au ugomvi wwe mwenyewe,usitegemee mzazi,ni ushauri tu.Alafu kua kama ally kiba na amina mambo yao chini ya maji
ОтветитьRaya mdg wangu umekosea kusema umeiacha ndoa et kiss picha maisha ya ndoa tana mambo mengi mbona mumeo kakuomba msamaha vya kutosha, Kuna kitu kinaitwa uvumilivu ktk ndoa lakin pia uliyeolewa nae ni msanii Sasa huo uamuz uliouchukua ghafla my dear utakucost kwasababu Haina mashiko ndoa ni yako na sio ya mama yako natamani nikwambia vitu Ving ila chukua huo ushaur Kwa leo
ОтветитьMwanamke ajielew uyu ajui kaz ya mumeo ulikua unataka uwolewe uwonekane chiz uyu locaction kuna watu weng pale acha uchiz
ОтветитьBarnabar usiombe msamaha wowote pumbavu uyu mwanamke yeye mbaka na mamake
ОтветитьWe Mama ninani I mean what if I love you
ОтветитьCha peke yako kaburi shosti
ОтветитьWewe dada unajivuna, ule ni mwanaume auwezi kumupangia mambo. Auwezi dumu kwenye ndoa kwa ayo maneno umezungumuza atari
ОтветитьHakusoma uyu mwanamke😂😂
ОтветитьUnampa tu adui nafasi we dada
ОтветитьMiaka minane nahamuna mtoto mmmmmh
ОтветитьHujielewi
ОтветитьAlienda kuangalia mkato wa chumba😂😂
ОтветитьNenda salama mama tunakutakia maisha mema
ОтветитьUnahadaika na ujana hujui ya kwamba ujana ni maji ya moto neeendaaaa
ОтветитьTumesha zoea maigizo ya wasanii sasahivi tutasikia km kina yule mdada nimemsahau jina alieridiana na madebo kashfa tele mtandaoni lewo hao wanakula miguu ya kuku wote
ОтветитьAlienda kutingisha liberties atiiii kakuta kimeunguaaa
ОтветитьHuyu haiwezi ndoa alifikiri ndo a lele mama haaaaa😂
ОтветитьMmmmhhh yetu macho
ОтветитьKwani lazima maswali yafanane au munaigana
ОтветитьDesperation na uchawi wewe na mamako hamuezi kinga ndoa kwa ushirikina
ОтветитьWewe mwanamke rudi kwa mmeo wacha ujinga 😅
Ответить🤣🤣🤣
ОтветитьYan we bwabwa kwer kwan hujui kuw yule ni msanii khreeeee
ОтветитьMbona mke wa mtu nyonyo ipo nje 😂
ОтветитьIla raya😅😅😅😅😅
ОтветитьMke mwenye kuijua din awez kuanika ndoa yake kwenye jamii alafu unatak stala wakati mwenyew unastar mke wamtu ayo nimavaz yakujianika mitandaon muongopen mungu
ОтветитьIla kam ndo mara y kwaz ilitakiwa umuskiliz nin anasem kuhus hilo na upend wake kwako upoje n angekuomb msamah maish yakaendelea
ОтветитьUzuri ni wakugombana akicheka.wataelewana tu
Ответить