WAZIRI SILAA AAGIZA KUKAMATWA WALIOSABABISHA MGOGORO wa ARDHI MBONDOLE - "MNAWAINGIZA MATATIZONI"...

WAZIRI SILAA AAGIZA KUKAMATWA WALIOSABABISHA MGOGORO wa ARDHI MBONDOLE - "MNAWAINGIZA MATATIZONI"...

Global TV Online

6 месяцев назад

24,426 Просмотров

Ссылки и html тэги не поддерживаются


Комментарии:

@williamsex3936
@williamsex3936 - 04.06.2024 13:20

🔥🔥🔥

Ответить
@rehemakanyere4188
@rehemakanyere4188 - 04.06.2024 13:21

Hapo Sawa kbsaa

Ответить
@exaverysimon1064
@exaverysimon1064 - 04.06.2024 13:38

❤❤❤❤

Ответить
@MonicaBenitomwalongo
@MonicaBenitomwalongo - 04.06.2024 13:59

Kama Vincent uyo nibalaa

Ответить
@salmanmagwe2612
@salmanmagwe2612 - 04.06.2024 14:48

Serikali yetu achaneni na akili ya KIJAMAA ktk sector ya ardhi,tungeni sheria imara za umiliki ili isiwe rahisi kumyan'ganya mtu eneo lake.
Serikali isimamie tu sheria na sio Rais kuwa ndio kila kitu bali iwe mwenye ardhi.ondoeni sheria ya ukomo wa HATI,kwani ardhi nitaweza kuipeleka nchi jirani? na sheria ya kumnyang'anya mtu eneo lake eti hajaliendeleza,kwani maendeleo ni lazima yawe ni ujenzi tu?mashamba yote ya KAHAWA,CHAI NA MKONGE,yaliyopo mjini yasibadilishwe kuwa makazi yabakie tu mashamba milele kwani mwisho wa siku hatutakuwa na hayo mazao kwa uzembe na sheria zetu za ajabu.mapori tengefu yanavamiwa ovyo na wananchi kwa kutetewa na wanasiasa na kuyan'gan'gania na mwisho wa siku tutapoteza uoto wa asili kwa sababu tu tumeruhusu wanasiasa watuamulie mustaqbali wetu wakijali tu kura badala ya kuwasikiliza wataalamu.

Ответить
@Optionxll_Playz1
@Optionxll_Playz1 - 04.06.2024 15:24

Ni kupanga na kuweka Sheria nzuri watu waache wizi.

Ответить
@RenaldaZeramula
@RenaldaZeramula - 04.06.2024 15:27

Mh. Wstie adabu.hadi watumishi wa serikali. Idara ya ardhi

Ответить
@RenaldaZeramula
@RenaldaZeramula - 04.06.2024 15:27

Polisi nao wanahusika

Ответить
@RenaldaZeramula
@RenaldaZeramula - 04.06.2024 15:35

WOTE WANAOUZA.NYUMBA.WAPEWENUYARATIBU WA KUSAJILI.HIZO.NYUMBA KM ZIKO MAENEO HALALI AMBAYO HAYANA MOROGORO AU KUEPUKA KUUZA NYUMBA ZA WALIOPO UGHAIBUNI

Ответить
@OmanOman-dn6dj
@OmanOman-dn6dj - 04.06.2024 15:46

Mteja wako huyu mchukue😂😂

Ответить
@OmanOman-dn6dj
@OmanOman-dn6dj - 04.06.2024 15:47

Waziri Slaa Yeye Ni mashati Meupe tu

Ответить
@khalidmdotta3843
@khalidmdotta3843 - 04.06.2024 15:53

Mwenyekiti ndio wauzaji wakubwa hao

Ответить
@MrishoHussein-oz9nr
@MrishoHussein-oz9nr - 04.06.2024 16:13

Mh ukitoka huko pitia bagamoyo na wenye viti pia wanahusika na sisi tumezulumiwa mali zetu wao ndio chanzo

Ответить
@jacksonsawe2301
@jacksonsawe2301 - 04.06.2024 16:21

Njoo Ndachi Nkuhungu broad acre Dodoma

Ответить
@GbpAud_King
@GbpAud_King - 04.06.2024 16:42

Jerry silah pekeake ndo anapiga kazi

Ответить
@francismlembwa2733
@francismlembwa2733 - 04.06.2024 16:44

Mh kwanza Mimi nakupenda Sana jinsi unavyofanya kazi hakika tulichelewa Sana kupata mawaziri wanaojua ,Utu,haki pia wenye kutumia busara na hekima ya Hali ya juu kutatatua migogoro ya ardh,Mungu azidi kukupa afya njema

Ответить
@JosephuSwai
@JosephuSwai - 04.06.2024 18:18

Tunaka nchi yetu ijiendeshe kisheria sio utashi wa mtu au hisani kesho inawezekana haupo mfumo katiba

Ответить
@DadysBoy.
@DadysBoy. - 04.06.2024 18:28

kazi nzuri sana waziri, huyu jamaa wa kuitikia je na mahakamani anaukumiwa kwa kuitikia kakaa miaka 10?

Ответить
@kimingowameno4068
@kimingowameno4068 - 04.06.2024 19:03

Kimyaaa Nani mwenye miaka 10

Ответить
@ramadhanmazije3882
@ramadhanmazije3882 - 04.06.2024 19:52

Hongera sana mh Waziri kwa kushughlikia matatizo ya watu. Other Politicians wajue kuwa Siasa zimebadilika. Siasa zilizobadilika nizakutatua matatizo ya watu kwa kulazimisha na kuwasema hadharan watumishi wasiowajibika kutatua shida za watu

Ответить
@kristofuraha3369
@kristofuraha3369 - 04.06.2024 20:41

Nimependa namna mh waziri unavyonipigia wahuni spana!

Ответить
@geofreykayombo401
@geofreykayombo401 - 06.06.2024 06:55

Hongera kusimama ili,bila kusahau kule pugu kinyamwezi,serikali ya mtaa wanasifa mbaya za ardhi maeneo ya kesi nyingi ambazo visababishi ni wao mjumbe na mwenyekiti na madalali

Ответить
@AlisiaAlisia-yq6wh
@AlisiaAlisia-yq6wh - 06.06.2024 21:55

Uonevu huo jaman😅😅

Ответить
@pungopungo411
@pungopungo411 - 07.06.2024 04:58

Kwa mwendo huo sio mwendo kinachokuja nikumwaga damu

Ответить
@pungopungo411
@pungopungo411 - 07.06.2024 05:03

Hao wanaonyaghanywa ni wapiga kula na hao wanaopewa nyumba wasizozijenga ni wapiga kula.sasa Basi kinachokuja ni kumwaga damu.

Ответить
@pungopungo411
@pungopungo411 - 07.06.2024 05:38

Kwanza sheria za aridhi ukipewa kiwanja ikipita miaka 3 hujaendeleza sio chako tena kinachoshangaza mtu ana miaka 30 kwenye nyumba kaijenga kwa shida anaambiwa vunja sio kwako hapa.aridhini ya selikali unaemnyanganya ni mtanzania na unaempa ni mtanzania.tena unaempa nyumba ambayo haijui hata garama yake. Hakuna njia mbadala hadi kuvunjia watu au kunyaghanya. Sasa nawapa ushauli wa blue ikifikia mmoja katangulia kujenga yule alikwisha Jenga atoe faini ili yule akapimiwe kungine.acheni roho mbaya zakukpmesha watu.raisi uko wapiga mbona umenyamaza?

Ответить
@kilogreek4050
@kilogreek4050 - 09.06.2024 08:22

Kazi hendele supana tu😂😂😂

Ответить
@sebastianmwakulya8146
@sebastianmwakulya8146 - 09.06.2024 18:04

HONGERA MUHESHIMIWA KWA KAZI KUBWA MUNGU AWABARIKI

Ответить
@jtheophil5499
@jtheophil5499 - 10.06.2024 08:08

Slaa piga kazi wakikunyima kura mh.Rais atakuteua tu.Wasikutishie kupitia kigezo cha uchaguzi
Kama kura wasikupigie ushachaguliwa na mwenyezi mungu.

Ответить
@muhammednassor3569
@muhammednassor3569 - 11.06.2024 16:35

Nchi hii ina madudu sana Wallah

Ответить
@mussamdoe4619
@mussamdoe4619 - 13.06.2024 12:39

Mheshimiwa tunakuomba mombo mazinde diwani ndio kikwazo anavunja amani kwakuchonganisha wakulima nawafugaji tunaomba msaada wako mkuu

Ответить