Комментарии:
Jamaa alikujaga na mbwembwe uyu😂😂😂🙌🏾
ОтветитьNice
ОтветитьKevo
ОтветитьJifunz quran kusoma na kuandik gusa pich
ОтветитьJaani naomba ngassa arudi yanga ndo tutacheza mpira
ОтветитьOk
ОтветитьMwampoa
ОтветитьHuo ubola saiv anao
ОтветитьNothing
ОтветитьNo mames jajajaja
ОтветитьHe got those moves from south africa 🇿🇦🤣🤣. Kasi flouver 👌🏿
ОтветитьLeo anawatesa Utopolo
ОтветитьJamaa Yuko vizuri sana, napenda aingie Dakika 45 kipindi Cha pili kinavyoanza
ОтветитьWe
ОтветитьHuyu jamaa angejitambua angekuwa Messi wa Tanzania
ОтветитьBaada ya hapo morrison akagundua kule njaa nyingi akahamia kwa Boss Mo🤣🤣🐸🐸🐸🐸🐸🐸🐸👇
ОтветитьJamaa fala sana😂😂😂
ОтветитьHonz
ОтветитьMondi
Ответитьcukpc
Ответитьmorison
ОтветитьSimba
Jkt
JH
ОтветитьKama umekuja kulicheki jembe hili baada ya hukumu ya tff gonga like
ОтветитьYou’ll only find such in Zambia 🇿🇲, Zimbabwe 🇿🇼, Botswana 🇧🇼, Eswatini 🇸🇿, Lesotho 🇱🇸 and South Africa 🇿🇦. Look at the players around Morrison they playing like robots 🤖.
Ответитьajal yamorrison
ОтветитьADili
ОтветитьHapa hakuna ujuzi wowote wala utaalamu zaidi ya kutaka ustar na kujihatarisha kuumia. Ulaya mbwembwe hizi refa anaweza akatoa kadi ya njano kosa la kuingiza mzaha na kujitakia majeraha kusiko lazima. Ila hapa bongo tunazuzuka na kupagawa kwa kuwa hatuujui mpira. Ulaya wanakuzomea badala ya kukushangilia
ОтветитьKama umekuja kurudia hii baada ya kupigwa 4-1 like tafadhali
ОтветитьAudio music
ОтветитьMambo hayo km vile south Africa
ОтветитьLike kwa benani motion
ОтветитьKama umeangalia mara 30 like
ОтветитьGooood sana
ОтветитьWiki ilopita uwanja wa ccm mkwakwani mchezaji wa coastal union kibacha katembea juu ya mpira Zaid ya hivo chaajabu refa kaweka faul na kumpa kadi ya njano msimu huu marefa wa bongo ziro
ОтветитьTunauza magazeti yanga ikishine balaa
ОтветитьKutembea juu ya mpira ndio kufunga bao au?
Ответитьlmao thabo rakhale copycat
ОтветитьPana muda mashabiki watu dhaifu na ajabu sana aisee
Ответить😁😁😁😁😁😁hd nimetoa
Machozi
Kuna watu wanaumia sana
Na nyinyi AZAM mnavyopost ndio mnawatesa zaidi
He got those moves from Thabo Rakhale at Orlando Pirates
ОтветитьAmeanza vzr sana lakn hilo poz alilo maliza nalo duh limearibu kila kitu.
ОтветитьYani huyo mwege tu hamkuti hata shibubu wala chama tena hata kanda hamkuti
ОтветитьSouth African flavour. This is for the fans and nobody else so if the fans are not complaining and the team is winning nobody else should complain.
ОтветитьMi nafikiri wanaobisha watuwekee clip yoyote ya mchezaji wa kitanzania,anayeweza kutembea juu ya mpira,mnyonge mnyongeni lakini...............
Ответить