Sayuni mlima wa Bwana - tumeitwa kutumika (official video)

Sayuni mlima wa Bwana - tumeitwa kutumika (official video)

SAYUNI MLIMA WA BWANA

54 года назад

443 Просмотров

Ni kwaya ya sayuni mlima wa Bwana ushetu hongwa inayo patikana katika kanisani la sayuni mlima wa Bwana wanapenda kukukaribisha kutazama wimbo wao wa tumeitwa kutumika ambao wimbo huo pia unapatikana katika ALBAM YA SIKIO LA MUNGU pia tunapenda kuomba support kwa wadau mbalimbali kwa ajilia ya kutangaza huduma ya Mungu zaidi na zaidi katika shamba la Bwana
pia tunapatikana katika mkoa wa shinyanga wilaya mpya ya ushetu Kijiji cha hongwa karibu sana kwa ushauri na mapendekezo yako juu ya huduma yetu
WASILIANA NASI KUPITIA
0717557844
0699141037
Ссылки и html тэги не поддерживаются


Комментарии: