CHANZO KIKUU VITA ya ISRAEL na PALESTINA//UKWELI Uliojificha HUU HAPA/HISTORIA INAWAHUKUMU

CHANZO KIKUU VITA ya ISRAEL na PALESTINA//UKWELI Uliojificha HUU HAPA/HISTORIA INAWAHUKUMU

Rick Media

9 месяцев назад

158,535 Просмотров

Ссылки и html тэги не поддерживаются


Комментарии:

Ddd Dudu
Ddd Dudu - 15.10.2023 18:18

Ikiwa kaburi la yesu Iko hapo basi si yaonekana sehemu hiyonia Israel na bibilia nayo je

Ответить
Amiri Ally
Amiri Ally - 15.10.2023 16:49

Tunaomba brother utuletee shekhe sule doctor, maalimu Othman, mazinge , na shekhe kipoozeo ili nao watoee content zao

Ответить
Emanuel Mwasote
Emanuel Mwasote - 15.10.2023 16:47

mwamba yuko vizuri

Ответить
Bukuru Yassini
Bukuru Yassini - 15.10.2023 14:14

👍

Ответить
Shakira Moha
Shakira Moha - 15.10.2023 13:34

Walibebwa na meleli kuletwa Palestinian

Ответить
Humphrey Mhada
Humphrey Mhada - 15.10.2023 13:26

Huo ni uongo. Hakuna kitu kama hicho "ukweli uliojificha" kinacho endelea ni chuki za kishamba na ujinga kilicho fanywa na Hamas. Kilichopo kwa Israel ni kuwauwa wote

Ответить
David Mtangi
David Mtangi - 15.10.2023 13:00

Jamaa longo longo

Ответить
Geofrey Mwandambo
Geofrey Mwandambo - 15.10.2023 12:47

Usifurahie msiba unao tokea kwa jirani Kuna hatari mwenzangu mithali 17:5

Ответить
Geofrey Mwandambo
Geofrey Mwandambo - 15.10.2023 12:43

Mungu ibariki izraeli

Ответить
Geofrey Mwandambo
Geofrey Mwandambo - 15.10.2023 12:40

Mungu hawabariki kwa uchambuzi mzuri

Ответить
alphonce kagezi
alphonce kagezi - 15.10.2023 07:08

Hama's ni part ya ulinzi wa Palestina .Palestina haipo KWA sasa bila Hamas!
Kwa msingi huo (Biblia hutaja neno mbigiri) (itakuzalia miiba na miiba itakuchoma ubavuni) mbigiri:Jamii ya Palestinian.
Miiba:- Hama's na Hezbra .
Joshua ndie chanzo cha madhara ya wapatao Israel people s.Fuatilia kosa hicho ndani ya Biblia KWA utulivu bila ushabiki.

Ответить
Seleman Shidda
Seleman Shidda - 14.10.2023 22:52

Israel ni taifa ambalo wengi wao ni Wayahudi. Wayahudi wana DINI yao!!! Si Uislamu wala Ukristo!!

Ответить
RAHMA HUSSEIN
RAHMA HUSSEIN - 14.10.2023 21:01

Nimekuelewa sana una sifa ya kuwa mwalim ❤

Ответить
Ef Tee
Ef Tee - 14.10.2023 17:46

Well done!
Umeeleza vema kabisa. Hili ni somo pana na wengi hawajui hii history.

Ответить
Elia Kazilo
Elia Kazilo - 14.10.2023 17:11

Kama Hamas sio Palestina kwa Nini Israel apige gaza yote?kwani Hamas Ni nchi?

Ответить
Twalibuzubeli
Twalibuzubeli - 14.10.2023 13:33

Mungu aibariki Palestin

Ответить
GJ M
GJ M - 14.10.2023 11:25

Liliovunjwa wkt wa vita ya Warumi walipompiga Israeli

Ответить
GJ M
GJ M - 14.10.2023 11:23

Sema juu ya msikiti wa Al-Axsa na hekalu la mfalme wa Israel

Ответить
GJ M
GJ M - 14.10.2023 11:19

Hiyo ni kabla ya Ottoman empire,

Ответить
GJ M
GJ M - 14.10.2023 11:18

Mungu wa Ibrahim, Isaac na Yakobo aliwapa Israeli nchi hiyo.

Ответить
GJ M
GJ M - 14.10.2023 11:13

Nilitamani sana kama ungelizungumza kuhusu ujio wa Wayaudi, Israeli uko Sayuni. Nchi ya ahadi. Na lini helaly la Mfalme Suleiman lilijengwa . Na kuondoka kwa Wana wa Israeli toka nchi ya ahadi baada ya vita ya Warumi ambayo pia ilipelekea uvunjaji wa hekalu la mfalme suleiman

Ответить
Rachel Muhehe
Rachel Muhehe - 14.10.2023 11:05

Mungu ibariki Israel Mungu ipiganie Israel

Ответить
Feith Chisaga
Feith Chisaga - 14.10.2023 10:59

Mungu asimame kwenye taifa la esrael

Ответить
Linus Mberwa
Linus Mberwa - 14.10.2023 10:11

Big up

Ответить
Suleman Mndeme
Suleman Mndeme - 14.10.2023 09:20

Huyu jamaa anajua kuchambua issue za kisiasa,kiuchumi na Imani.
Big up

Ответить
Denis Bongore
Denis Bongore - 14.10.2023 08:38

Waooo good story

Ответить
Johnson Mwakonya
Johnson Mwakonya - 14.10.2023 01:30

Ucarine experead

Ответить
Janeth Obama
Janeth Obama - 14.10.2023 01:15

Mungu simamia dunia yote amani upendo😊

Ответить
Kalani Mwankuga
Kalani Mwankuga - 14.10.2023 00:55

Ulivyoeleza kwa ujasiri sssa 😂😂

Ответить
K,m;four Group
K,m;four Group - 14.10.2023 00:47

Bro mungu akulinde

Ответить
K,m;four Group
K,m;four Group - 14.10.2023 00:45

Ok kumbe ndiomaana serikali inashindwa sana kumsaidia mtu kwaajili ya watu ambao wana jambo lao na ukitaka kunyamazishwa au kukufanya usiendelee

Ответить
Prof. Samwel Manyele
Prof. Samwel Manyele - 13.10.2023 23:52

Hongera sana kwa historia hiyo...

Ответить
Amina Abbu
Amina Abbu - 13.10.2023 23:33

Mungu tunaoomba lisimamie taifa lako. Pia nasikia waisrael ni matajiri sana na wanaakili sana. Mungu tunaoomba Amani yako. Vita viishe. Wapatane.

Ответить
Ahmadi Omari
Ahmadi Omari - 13.10.2023 22:18

Umejitahidi kuchambua.

Jingine eaisraeli wamekataa sheria za kimataifa kugawiwa nchi zote mbili waishi kwa amani.

Ответить
femash company
femash company - 13.10.2023 22:14

Amin usiamini yesu atarudi tena

Ответить
Nicolaus Mgosi
Nicolaus Mgosi - 13.10.2023 22:12

Kumbe kweli kuwa msomi sio kufunuliwa na mungu mambo ya mbinguni ndomaana wasomi wanasema mwanadamu ametoka a na nyani tena ndoomaana hata hawa hawa wasomi wanahalalisha ndoa ya jinsia moja mungu awasaidie hiyo ni elimu ya duniani tu mfunuliwe elimu nyingine ya muhimu sana na inapatikana kwa yesu tu

Ответить
Phidoline Privatus
Phidoline Privatus - 13.10.2023 20:50

I wish siku Moja nami nipate Chance nije kutema madude ya Palestine na Israel hapo Rick Media

Ответить
Fadhil Shafi
Fadhil Shafi - 13.10.2023 19:16

Grayson una madini yakutosha kichwani, na save his video for future use

Ответить
Fatuma Ahmadi
Fatuma Ahmadi - 13.10.2023 16:54

😢

Ответить
Saidy Mbagalla
Saidy Mbagalla - 13.10.2023 15:20

Israel ni taifa la kishetani

Ответить
Harold Tarimo
Harold Tarimo - 13.10.2023 15:16

Baadhi unaongea ukweli vingine kidogo unapotea

Ответить
Mohamed Manywele
Mohamed Manywele - 13.10.2023 14:35

Uko very deep bro 🇦🇪🇮🇱✌

Ответить
sali sali
sali sali - 13.10.2023 14:14

Uongo mwengine

Ответить
PHILIPO MSOGOYA
PHILIPO MSOGOYA - 13.10.2023 14:06

Ninafuatilia mjadala

Ответить
AJAE EMMANUEL
AJAE EMMANUEL - 13.10.2023 12:23

Viva Palestine

Ответить
Victor Mtani
Victor Mtani - 13.10.2023 11:23

Hakuna kitu unajua brother unaongea km wanajimu wa Mvua eti kutakuwa na Elinino ulikaa na Mungu akawaambia sikai na wapumbavu Binadamu. History umesema ukweli kabisa kwamba wayahudi waliondoka wakaelekea mashariki wengine Magharibi wengine kusini na wengine kaskazini. Ila walipoondoka wakaja wahamiaji wanaojiita Palestina. Ila Wayahudi walipojitambua Waisrael wakarudi kwenye mahame yao shida iko wapi mtu karudi kwenye makao ya mababu yao? Huwezi kuanza vita na watu walio pewa nchi na Mungu. Israeli unapopigana nayo ujue unapigana na Mungu. Palestine na Israel vita hivyo ataamua Mungu tu. Wengine mnatupa history butu tu ila ingia ktk Bibilia inasema nini juu ya Israel na Palestine ni Dini hizo mbili Christian and Muslim. Na Mjue hivyo Hilo Dini ya Wayahudi ni Mungu aliwapa Wayahudi kujengwa msikit wa waislamu siyo sababu. Israeli ni Taifa la Mungu na Saudi Arabia ni Baba wa Waarabu akisema Naitambua Nchi huru. Hata Saudi Arabia hata wasiposema ukweli unabaki pale pale Israel ni Taifa lenye nguvu na Mungu alilichagua hata km walimkataa Masihi ila Agano la Mungu bdo lipo pale pale

Ответить
omaar
omaar - 13.10.2023 10:54

hiyo ni vita ya tembo na sisimizi,
muda si muda tembo linakuwa mzoga

Ответить
Nipa David
Nipa David - 13.10.2023 10:03

Mungu aliwatambua Israeli kabla ya ww unavyoelezea hiyo ni history ya movie ndo umetuletea bhana

Ответить
Nipa David
Nipa David - 13.10.2023 10:01

Hiyo ni akili yako soma Biblia kisha uliruhusu Biblia iseme.

Ответить