Комментарии:
Ahsante sana Dr tunaomba Dawa ya presha
ОтветитьDawa ya kuondoa ganzi mwili mzima ipo
ОтветитьAsante bwana kwashauri 🇨🇩🇨🇩🇨🇩
ОтветитьMawe kwenye figo
ОтветитьDawa ya jino doctor nakuomba
ОтветитьKaka naomba unijibu
ОтветитьJe kuna dawa ya asilia kuondoa maji kwenye mapafu
ОтветитьNapata shida sana nimeenda hospital nimetumia dawa nyingi sana na sindano kibao lakin bado mambo ni magumu
ОтветитьJaman mimi naomben dawa ya kuondoa maumivu kwenye korodan 😢😢😢😢
Ответить👏👏👏👏
ОтветитьSsa docter wew hujatwambia namna yakujitibu vimelea vinavyosababisha ulcers
Ответить🙏🙏🙏
ОтветитьNimejikuta nacheka jaman doctor ni mtihani kwa kweli
ОтветитьNaomba dawa ya bawasiri
ОтветитьDawa ya ulcers na allergy
ОтветитьDawa ya ulcers na allergy
ОтветитьKaka .RASHIDI tunakuomba dawaa yaa Meno yalio .tobolewa.yanatutesa.meno
ОтветитьSante naomba unielekeze dawa ya meno pia uwe nataja jina kwa kingereza
Ответить