Комментарии:
Mmekuja kuharibu redio😂
ОтветитьLeo nime subscribe
ОтветитьKuna mchambuzi 1 alikuaga radio Frir akachaga akaenda crask kwasasa hayupo
ОтветитьJemedar!!!
ОтветитьSaf sanaaaaaaaa
ОтветитьJembe sana jemedari saidi
Ответить🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰
ОтветитьUsiposkiza crown media ujue umekosa mengi
ОтветитьUnyama sana
Ответить🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩j.k.v.nawakubali sana kiba mpaka kifo
ОтветитьUsajili mwingi sasa kama Simba mwisho CROWN inaharibu.......😢😢
ОтветитьKitendo cha kumuweka huyo kazumari nimeamn hamko serious kabisa huyo tulishamchoka hatuwezi kuka na mchambuzi anaye apa kwa kitu ambacho hakijafanyika
ОтветитьMmeikosea sana hapo kumlet jemedar tuliacha kufatilia efm kwa sababu ya unafiki na uongo wa huyo jamaa sasa mmeanza yaleyale mnafiki sana
ОтветитьDullah mtu sana
ОтветитьBado mmoja tu nianze kusikiliza Efm nasubiri aondoke mzee wa kijambio sasa
ОтветитьRasmi mm n shabiki wa jemedar
ОтветитьKIBA, Kuna mchambuz anaitwa Mwamnyan yupo U fm nakuomba umsajili kwa apo tanzania naamin ni namba moja kwa kuchambua mpira kwa ualisia wake, uyo nizaid ya Ambangile wa wasafi hao wengine wengine ni machawa waliojificha kwenye mgongo wa uchambuz.
ОтветитьCrown media iko sawa ❤❤❤
ОтветитьSw hatutaki majungu
ОтветитьJemedari❤❤❤
ОтветитьDa hapa kwahuyu kiba umepuyanga
ОтветитьHii redio imekufa kabla ya kukua huyu Jemedari Saidi ni kirusi kibaya sana yaaan mahali ambapo yupo lazima atiee fitinaa,chuki, migogoro,na umbeaaa
ОтветитьMa Shaa Allah, show nzuri wanafiatilia nikiwa Mombasa,kenya
ОтветитьManagement inapaswa kuwasimamia lasivyo Kuna baadhi ni wahalibifu kwa kuweka mambo Yao binafsi mbele kuliko taasisi
ОтветитьMm kikeke na Kiba ni mdau wenu mm ila napigana sehem na nyie sehem moja kwann msitafute vipaji na watu tofauti na hawa ambao tumewazoe? We need changes lakini mtu huyu huyu alikuwa cloud fm akaenda e fm akaenda wasafi leo anakuja kwenu it's like hata nyie hampo salaam Kuna siku atawahama kuweni wabunifu zaid tafuteni watu wengine wapo vijana ambao ni very talented at all .
Ответить👑👑👑👑👑👑
ОтветитьBado wilisoni oruma mze wa jambia
Ответитьnakukubari jemedari.piga kazi.
ОтветитьSafi sana mwamba jemedari said kazumari
Ответить🔥 🔥 🔥 🔥
ОтветитьYaani crown mnatuletea chawa
ОтветитьCrown munatisha sana
ОтветитьKiboko
ОтветитьHii redio sintaiskiliza tena
Ответитьsubili baba ako afungue redio yake ndio usimpe kazi jemedari acha roho ya kunguni
ОтветитьYanga tumefurahi sana jamaaa mwonginkila siku kuisema vibaya timu yetu.afadhali kaicha efm yetu pia
ОтветитьKati vitu nilivyofurahia sana huyu jamaa kuhama . professor Fanya mambo kaka leta chuma kingine
ОтветитьTuliwapenda.crawn.ila.tunawakimbia.kwa.sababu.mmemleta.mfitini
ОтветитьMachawa wa uto ndo wanamponda jemedar
ОтветитьYes
ОтветитьKoloooo amekaribishwa ukoloni
Ответитьjemedari. namkubari sana
ОтветитьOngereni sana crown.mnaonyesha kama mmekuja kivingine..piga kazi..,crown
ОтветитьHii redio inafanya sajili ziviwango sana na ipo siku itafanya mageuzi makubwa sana ila ninacho waomba msije mkaingia kwenye mfumo wamatangazo yakukera kila saa chambueni mada iishe wekeni tangazo kama lipo
ОтветитьKweli nimewakubaliii
ОтветитьDodoma ham2tendei haki CROWN
ОтветитьTishio la Wasafi
ОтветитьJemadar nakukubali
ОтветитьJemedali kaka nakukubari sn
ОтветитьCrown inameza media zingine
Ответить