KINGU ACHAFUKWA "HATUWEZI/ SITAKI, ZIMETOKA WAPI?..AMESHINDWA KUISIMAMIA SERIKALI, SHIKAMOO/ MPINA"

KINGU ACHAFUKWA "HATUWEZI/ SITAKI, ZIMETOKA WAPI?..AMESHINDWA KUISIMAMIA SERIKALI, SHIKAMOO/ MPINA"

Uhondo TV

4 недели назад

14,484 Просмотров

Ссылки и html тэги не поддерживаются


Комментарии:

@jochachallengetv7061
@jochachallengetv7061 - 21.06.2024 13:13

Bangi kabisa huyu😅

Ответить
@yasiniSwedi-qg5oc
@yasiniSwedi-qg5oc - 21.06.2024 13:17

Wewe ni wakujikweza unayaona wewe tu hayo maendeleo chawa mkubwa kblaka

Ответить
@kiyumbijustine3434
@kiyumbijustine3434 - 21.06.2024 13:29

Kuna wabunge hawatakiwi kurudi bungeni 2025 kazi kusifia tu

Ответить
@IBRAHIMSAAC
@IBRAHIMSAAC - 21.06.2024 13:32

Hajajua kama kunandugu zake wanataabika.

Ответить
@user-qp7gb7pu4l
@user-qp7gb7pu4l - 21.06.2024 13:47

😮falaww usituletee Kodi nzakenya huko Yuko nzayo achaupumbafu tunaumia sisiwachini

Ответить
@hashimuuhehwa4252
@hashimuuhehwa4252 - 21.06.2024 13:55

Hii takataka

Ответить
@hashimuuhehwa4252
@hashimuuhehwa4252 - 21.06.2024 13:55

Hata kumsikiliza inatia kinyaa

Ответить
@thomasmollel9465
@thomasmollel9465 - 21.06.2024 14:00

Uchaguzi umekaribia ndio maana tunaona mabadiliko ndani ya bunge

Ответить
@Kakamkubwa3564
@Kakamkubwa3564 - 21.06.2024 14:30

Network virus

Ответить
@OscarMushi-ny5mp
@OscarMushi-ny5mp - 21.06.2024 14:34

Usitudanganye

Ответить
@davidjohn8908
@davidjohn8908 - 21.06.2024 14:34

Kazi ni kusifia tu!?

Ответить
@OscarMushi-ny5mp
@OscarMushi-ny5mp - 21.06.2024 14:34

Usitudanganye

Ответить
@OscarMushi-ny5mp
@OscarMushi-ny5mp - 21.06.2024 14:34

Usitudanganye

Ответить
@dickisoniryoba3989
@dickisoniryoba3989 - 21.06.2024 14:50

Nina uhakika singida hamtarudia makosa..huyu situdi tena humu kuja kufanya ujinga huu anaoufanya mjengoni...mumemtuma aje awatetee humu ..anakuja kusifia ujinga...??

Ответить
@JumaMbaga-sd5yi
@JumaMbaga-sd5yi - 21.06.2024 15:21

Maslahi sawa lakini sio yenye harufu ya rushwa

Ответить
@user-lg6je8xh4p
@user-lg6je8xh4p - 21.06.2024 15:32

Jamani Watanzania tujitahidi sana kulinda kura zetu kwenye uchaguzi ujao. Vinginevyo hawa wakina Kingu , Msukuma na aina yao watarudi tena Bungeni. Hao nadhani wamesha hongwa na akina MO sasa wanaropaka huko Bungeni. Eti watu hawalipi Kodi, wabunge mnalipa kodi? Nan alipe sasa kama mmejitungia sheria msilipe kodi? Njaa mbaya sana. Ukweli njaa inaweza ikufanye uonekani mtoto mdogo.

Ответить
@user-lg6je8xh4p
@user-lg6je8xh4p - 21.06.2024 15:34

HAO NDIO WALIORIDHIA KUUNZWA KWA BANDARI ZETU. AKINA KINGU NA MSUKUMA WANA NJAA BALAA

Ответить
@bagaileshabani3179
@bagaileshabani3179 - 21.06.2024 15:37

Pumbavuzako

Ответить
@levissanga8867
@levissanga8867 - 21.06.2024 15:51

Mh. Mbunge onesha takwimu. Bila takwimu huna haki kabisa

Ответить
@user-hd6il8ni2f
@user-hd6il8ni2f - 21.06.2024 15:53

Wapumbavu ktk ccm ni wengi mno huyu nikati ya mabwege kuanzia ngazi ya chini.

Ответить
@user-xk3ve2wo3l
@user-xk3ve2wo3l - 21.06.2024 16:15

Pumba kweli uyu naye anazungumza nini mwigulu

Ответить
@dassustephen731
@dassustephen731 - 21.06.2024 16:43

Nonsense.This is a dinderhead

Ответить
@user-cy3pl6yu8l
@user-cy3pl6yu8l - 21.06.2024 16:49

Ametokea TZ au Kenya maana sijamuelewa huyu

Ответить
@user-hb8er6dq2q
@user-hb8er6dq2q - 21.06.2024 17:02

Et na uyu ni mbunge

Ответить
@sautiyamunguduniani4620
@sautiyamunguduniani4620 - 21.06.2024 17:17

Akili ndogo inataka kujithibitisha mbele ya wenye uwezo kuonekana anaweza 😢😂😂😂
Mungu mwenye Enzi ponya TAIFA LANGU LA TANZANIA 🇯🇲🙏

Ответить
@constanciapeter2497
@constanciapeter2497 - 21.06.2024 18:10

NONDOO ZA HATARIII🎉🎉

Ответить
@aarona.midende1789
@aarona.midende1789 - 21.06.2024 23:14

Ole wenu vijana mfanye kosa tena la kutopga Kura chaguzi zjazo

Ответить
@hamudshabani7801
@hamudshabani7801 - 22.06.2024 01:02

Huyu ni mlevi haswa sijui ana elimu ya kiwango gani mnatuletea number za makaratasi Alafu maisha ya watu zero na huyu anajipambisha ili 2025 apate kiti

Ответить
@michaelfrenkline3429
@michaelfrenkline3429 - 22.06.2024 06:29

Kodi zikiwa rafiki watanzania watalipa.

Ответить
@emmanueldavid9506
@emmanueldavid9506 - 22.06.2024 07:19

Nyamazaaaaa
Hauna lolote

Ответить
@ignasmwamwenda3154
@ignasmwamwenda3154 - 22.06.2024 07:39

Hivi wajibu wa mbunge bungeni ni kufanya nn, kuisifia serikali, kumtetea mwananchi,

Ответить
@ramadhanhassan5285
@ramadhanhassan5285 - 22.06.2024 08:24

Uyu nikiendelea kumsikiliza naweza kutapika mana anasifia sisi wananchi kuzidi kuporwa mali zetu

Ответить
@user-fw6dp9iy4i
@user-fw6dp9iy4i - 22.06.2024 09:58

Kumbe wajinga pia wanavaa suti

Ответить
@user-fw6dp9iy4i
@user-fw6dp9iy4i - 22.06.2024 09:59

Wabunge wanalipa Kodi?

Ответить
@fredrickipembe8188
@fredrickipembe8188 - 22.06.2024 10:12

Huyu mbunge pumba kabisa siku ingine ndugu yangu kaakimya utapata hekima zaidi koliko michango yako bungeni

Ответить
@SylivesterKilunga
@SylivesterKilunga - 22.06.2024 11:58

Hivi nihuyu. Majanga

Ответить
@fidelfidel-jz4iw
@fidelfidel-jz4iw - 22.06.2024 12:05

Tanzania ingekuwa mbali mh kwani wakati wa Corona nchi nyingi zilikuwa zimesimama ila Tanzania ilikuwa ikifanya KAZI kawaida

Ответить
@isackkimaryo8637
@isackkimaryo8637 - 22.06.2024 13:20

Iende sambamba na uagizaji wa petroleum

Ответить
@yamungungendu4839
@yamungungendu4839 - 22.06.2024 15:37

Rwanda, Uganda ni land locked Countries....nafkiri ni vizuri kufanya comparison na Nchi ambazo zina hali sawa na Tanzania kimaliasili.Tanzania kuna Gesi, Bahari na Bandari, Mbuga za Wanyama, Maziwa Makuu, Mito mikubwa, Usafiri wa Rail way.Hizo zote ni rasilimali ambazo zingetosha kufanya Tanzania iwe zaid ya Ulaya.Ushabiki usio na data zenye Mashiko ni hatari sana.

Ответить
@7675kio
@7675kio - 22.06.2024 19:42

Huyo hajui kabisa maana ya kusimamia uchumi.

Ответить
@shukurukwake7447
@shukurukwake7447 - 23.06.2024 13:02

How is this guy ..?😮😮

Ответить
@carloschikawe3244
@carloschikawe3244 - 23.06.2024 16:09

Wewe unajua maisha ya mtaani kweli kaka

Ответить
@carloschikawe3244
@carloschikawe3244 - 23.06.2024 16:09

Kingu kashiba sio kosa lake

Ответить
@carloschikawe3244
@carloschikawe3244 - 23.06.2024 16:11

Huyu Mbunge ajui maisha ya matani kabisa watu kama Hawa ulaya awapati uongozi

Ответить
@hongerakimbwala8650
@hongerakimbwala8650 - 24.06.2024 18:47

Mnadhambi nyie Wanasiasa mungu anawaona

Ответить
@hongerakimbwala8650
@hongerakimbwala8650 - 24.06.2024 18:58

Kama umewahi kusoma kitabu cha kivuli kinaishi bibi kirembwe alivyo walisha unga wa ndere... Na kweli wewe umelishwa unga wa ndere.... Wewe mbunge...

Ответить
@peterkasonso3169
@peterkasonso3169 - 24.06.2024 21:15

Ukitoka hapo soma koment hizi wew

Ответить
@omariSaliboko
@omariSaliboko - 03.07.2024 22:08

Upo sawa nimekuelewa

Ответить
@jackisonmlaari4556
@jackisonmlaari4556 - 04.07.2024 06:50

Mm nilingoja mambo ya maana kumbe anaongea ujinga.unawasaport wezi sababu ww mwenyewe ni mwizi

Ответить
@user-bv1jd6qw7z
@user-bv1jd6qw7z - 11.07.2024 11:13

Huyo Jamaa Hajuwi Anachokiongea

Ответить