DALILI 6 MPENZI WAKO ANA LAANA AU MCHAWI.

DALILI 6 MPENZI WAKO ANA LAANA AU MCHAWI.

Tabibu Lois

55 лет назад

4,340 Просмотров

Ссылки и html тэги не поддерживаются


Комментарии:

@hepsonmboka6776
@hepsonmboka6776 - 24.12.2024 17:29

Nimekupenda ghafla Tabibu upo vizuri sana Mungu akubariki sana ❤❤

Ответить
@Collinsoluka-u4u
@Collinsoluka-u4u - 24.12.2024 17:31

Asante sana madam. Nimekupata kutoka Nairobi(Kenya).

Ответить
@florarubina2560
@florarubina2560 - 24.12.2024 17:52

Barikiwa sana kutoka kenya

Ответить
@rosemarry1274
@rosemarry1274 - 24.12.2024 19:01

Asante sana dia kwa somo ❤❤❤❤❤, happy Xmas

Ответить
@makopamusic
@makopamusic - 24.12.2024 19:47

Kweli kabisaaa mamaangu🙏

Ответить
@MillicentNekesa-iy6rc
@MillicentNekesa-iy6rc - 24.12.2024 20:34

Dada Lois Nina mpenzi nampenda na ananipenda sana pia,ila Kuna pingamizi kutoka kwa mamangu mzazi,ila kwao wazazi wake wananipenda,juzi nimeota tukiwa na ugomvi na mama aliponikuta naye hadi nikamzaba makofi mamangu kwa kuniambia niwachane na huyu mpenzi,dada nauliza Kuna la mno au ni hali ya kawaida niendelee naye tu..naomba unijibi

Ответить
@itemanyongoniwangamweene6706
@itemanyongoniwangamweene6706 - 24.12.2024 20:44

Na ukimtumia pesa unakaukiwa shida ni wewe ama ni yeye

Ответить
@malonemalick1999
@malonemalick1999 - 24.12.2024 22:13

Kweli kabisa🙏🙏🙏

Ответить
@FatumaBahatihassan
@FatumaBahatihassan - 24.12.2024 23:08

Asante sana

Ответить
@HabibaAbduli
@HabibaAbduli - 25.12.2024 04:19

mmm. mbona hadi naogopa , mimi pia ninampenzi wangu nikifanya nae mapenzi ananiambia kiuno kinauma. ambalo hilo tatizo nilangu mimi

Ответить
@Samwel912
@Samwel912 - 25.12.2024 11:31

Asante dd

Ответить
@SamuelBusege
@SamuelBusege - 25.12.2024 21:51

Tunawezaje? Salama wachawi walisha kupiga châle mama ubarikiwe sana kweli kabisa ngono imesha jaribu maisha yetu.

Ответить
@merrynancesimon1562
@merrynancesimon1562 - 26.12.2024 23:07

❤❤❤❤🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾❤️‍🔥❤️‍🔥❤️‍🔥❤️‍🔥🔥🔥🔥

Ответить
@Realforrap
@Realforrap - 27.12.2024 02:41

Kweli kabisa

Ответить
@Realforrap
@Realforrap - 27.12.2024 02:41

Ответить
@ShadrakaAthumani
@ShadrakaAthumani - 30.12.2024 12:43

Dr Alois nitakupataje ninashida

Ответить
@ShadrakaAthumani
@ShadrakaAthumani - 30.12.2024 12:49

Dr nitakupataje tafadhali

Ответить
@Kitime-u5s
@Kitime-u5s - 31.12.2024 10:29

Mama wewe ni kiboko nakubali sana uishi maisha malefu

Ответить
@mangimosha95
@mangimosha95 - 25.12.2024 11:31

Dada ubarikiwe sana kwa kunitoa usingizini maana kuna mwanamke niko nae mwaka wa tatu sasa, kila nikipata pesa nikuimalizia hospital TU,, na mengine mengi,, naachana nae sasa😮😮

Ответить